Wakazi wa jijini Tanga wakiwa wamesahau shida zai na kujifiestisha na one love ya Fiesta,yaani mvua kibwa iliyoanza usiku wa kuamkia Ijumaa mpaka mida ya usiku wa burudani washkaji hawajakata tamaa wameamua kuweka shida zao chini na kubanjuka tu.
Sunday, October 25, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment