Friday, October 23, 2009

RAY NA KASHFA YA FILAMU.

WADAU HIVI BWANA MDOGO RAY KWELI AMEKOSEA KUTENGENEZA FILAMU YAKE YA DIVORCE NA KUONEKANA KUNA MADAI YA KUUDHALILISHA UISLAM AU NI PROPAGANDA YA BAADHI YA WATU KWA LENGO LA KUUZA KAZI HIYO?
TAFADHALI CHANGIA MADA HII.

No comments:

Post a Comment